Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JINSI YA KUHIFADHI DAWA VIZURI



Dawa zetu zote ni kemikali. Iwe ni ya kisasa au ya asili, zote zote ni kemikali na huweza kuharibiwa na mwanga wa jua, unyevu, maji, joto kali na vijdudu vidogo vidogo tusivyoviona kwa macho.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwakuwa umeshapewa ushauri na tabibu, yaliyobaki ni yako. Muhimbili kulikuwa na daktari bingwa wa magonjwa ya moyo Dr Shaba. ( sijui kwa sasa yuko wapi?) Daktari huyu ufanisi wake wa kazi ni baada yq kupata kilevi. Na sigara kwake ni bandika bandua, lakini hilo halikumzuia kuwaelimisha watu madhara ya vitu hivyo. Pambana na uhalisia mkuu
 
Hifadhi dawa zote zikiwa katika vifungashio vinavyoonesha majina ya dawa hizo na maelezo mengine yote. Usihifadhi dawa bila kuwa na majina yanayoeleweka na maelezo mengine maana itakuwa ngumu kuzitambua baadae
 
Weka mahali pasipo na joto kali. Kwa dawa za kuhifadhiwa kwenye friji (Kwa mfano sindano za Insulin kwa wagonjwa wa kisukari na Oxytocin kwa akina mama wajawazito wanaoziweka kwa ajili ya kujiandaa kujifungulia) mara zote hakikisha unahifadhi huko na friji liwe limewashwa
 
Zingatia : Ufanisi wa dawa yoyote hutegemea ubora na kiasi cha dawa kilichopo. Endapo utaiacha dawa yako iharibiwe na mwanga, joto na unyevu basi hautapata ufanisi unaotakiwa.

Hakikisha unahifadhi dawa zote vizuri kila mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…