Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samahani mkuu,huyu sio wa kwetu...niwe mkweli tu,hawajafikia kiwango hicho labda awe haibridi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakwenu karibia wote ni weusi na sura zao wamerithi kwa mzazi wakiune[emoji3] [emoji3] mkuu utani tu. Maana mbeya kwa misambwanda nao hawapo nyuma. ANGALIA HIYO
 
ahahahahaaa kuna wengine ukiwaambia madhara ya kitimoto wanakwambia wao hawalagi kitimoto bali wanakula pork. Ila kitimoto tamu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…