Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e. Husaidia kuzuia matatizo mbalimbali yatokanayo na matumizi mabaya ya dawa kama vile kuzidiwa nguvu na dawa, matatizo kwa mtoto aliyepo tumboni, ulemavu, vifo nk
Dawa zote zitumike vizuri kabisa kulingana na ugonjwa na hali ya mgonjwa
 
USHAURI

Mara zote unapopewa dawa tumia kama ulivyoelekezwa. Pia zihifadhi vizuri na utumie vizuri. Endapo kutakuwa na tatizo na utashindwa kuendelea kutumia dawa kama ulivyoelekezwa basi ni vyema ukatoa taarifa na kupata ushauri kwa daktari, muuguzi na famasi walikokupatia dawa hizo.

Matumizi sahihi ya dawa ndio msingi wa kupona vizuri.
 
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Tatizo letu binaadam tuna tabia ya kukata tamaa mapema.
Huu ujumbe umenigusa,barikiwa[emoji120] [emoji120]
 
Nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho hata sijui kwanini!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…