Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu nae huo u gynecologist kaupata lini kwa umri huo? [emoji1][emoji1]
Ila tuacheni utani. Ma gynecologists wana kazi ngumu. Ndiyo maana uzeeni wanakuwa na tatizo la kuona na wengi wao wanadevelopu tunnel vision [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Naam maneno mubaaashara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…