Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hayo ndiyo mambo yanayojenga afya bora. Afya bora ni matokeo ya kuishi mtindo mzuri wa maisha, kujikinga dhidi ya ajali na magonjwa yote (ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa),
 
Ukizingatia hayo mambo yote hapo juu na kuwa makini mara zote basi kwa hakika utakuwa na afya njema. Utakaa miezi na miaka bila kuwa mgonjwa mara kwa mara au kabisa.

Je, ungependa kuwa na afya bora? Zingatia misingi ya afya bora sasa. Kila siku.
 
Acha kubadilisha muelekeo,jakitoo izi resiponsibo na hili suala.
Mimi nilisimamia kwenye mkataba wa picha iking'olewa ukutani najitwalia mke.Na ndio nilipokuwa nimesimamia kwenye makubaliano ya awali...
Tatizo SYB hataki kukubali ukweli kuwa ndoa yangu imevunjika sababu ya mkewe[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Anyway tuachane na hayo ndoa ishavunjika yaliyobaki ni zilipendwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa sifa mbaya sana.Yego ndiye alistahili sifa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…