Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo SYB hataki kukubali ukweli kuwa ndoa yangu imevunjika sababu ya mkewe[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Anyway tuachane na hayo ndoa ishavunjika yaliyobaki ni zilipendwa
Shemeji. Kidogo nimekuwa disappointed. Kumbe wewe na huyo mzee mlikuwa mnacheza gemu tu na kucheza na hisia zetu. Ina maana hata ndoa yenu ilikuwa ni zile zinaitwa sham marriage ama? Ina maana utarudi tena kwa Cole kwa vile gemu imeisha ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…