Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya yote ni magonjwa yasiyoambukizwa na tunayapata kwa sababu ya hitilafu katika muundo, mfumo na utendaji kazi wa miili yetu na sehemu zake. Kwa kiasi kikubwa tunaweza kujikinga tusipate magonjwa haya na kuishi bila kuumwa. Yanazuilika kabisa.
 
TUNAWEZA KUFANYA NINI?

Nasikitika sana kuona wazungu wanakuja kutusaidia kudhibiti magonjwa. Kisha wanatutangaza mitandaoni na makwao pamoja na kujipatia faida. Tumeshindwa kujua mambo ya kufanya na kujisimamia wenyewe? Tumeshindwa kudhibiti magonjwa sisi wenyewe?

Inawezekana. Tufanye mambo mawili tu kwanza ili kujikinga dhidi ya magonjwa na tusiumwe
 
KWA NINI HATA MADAKTARI, MANESI, WAFAMASIA NA WATU WENGINE WENYE ELIMU NA UJUZI WA AFYA HUUMWA?

Sababu ni rahisi sana. Wana elimu lakini hawaitumii na kuizingatia muda wote ili kujikinga dhidi ya magonjwa. Vinginevyo madaktari, manesi,wafamasia na wataalam wengine wasingeumwa. Ukitaka usiumwe pata elimu na uizingatie vyema. Kila siku na kila wakati.
 
Kwa nini daktari asiumwe malaria wakati na yeye anang’atwa na mbu usiku wakati anafanya kazi au amepumzika nyumbani?

USHAURI

Inawezekana kabisa kuishi bila kuumwa. Inawezekana ikawa ngumu kuanza ghafla na kwa mara moja kujikinga dhidi ya yote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…