kutokana na juhudi ambazo tunazifanya ili kumridhisha kocha wetu, ambaye ameonyesha kumuhitaji sana mchezaji huyo, amesema Katibu Mkuu wa Yanga Bonifave Mkwasa.
Kiungo huyo pamoja na ugeni aliokuwa nao kwenye ligi ya Tanzania Bara, lakini amekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi hicho kiasi hadi cha kujumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania bara, ambayo imekwenda nchini Benin, kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wakimataifa uliopo kwenye kalenda ya FIFA.