Tetea jibu lako, vigezo gani umetumiaNape
Mzee kaguta.Yoweri Museveni
Ngoja nijilipie tu huu msosi nikasubirishe mechi. Hela za kebet nisije nikasubiri hapa mpaka wikendi ikatike...Arsenal vs spurs mchana huu
Quote zako zimezidi kuwa nyingi hapa kuna wanaopenda kuchat na wasiopendaTetea jibu lako, vigezo gani umetumia
ahahhaa maana mechi ya mwisho inapigwa saa mbili na nusu usiku man u vs NewcastleNgoja nijilipie tu huu msosi nikasubirishe mechi. Hela za kebet nisije nikasubiri hapa mpaka wikendi ikatike...
Hii inafaa sana sana sana!Baadhi ya faida za Tende ni pamoja na -kupunguza shinikizo la damu -kuongeza afya ya ubongo -kupunguza uzito -kuongeza madini ya chuma mwilini -kuongeza nguvu za kiume
Mzee shika aka don la kirusi
Inawezekana,lakini doctor numbisa awe pembeni kushusha presha.
Hizo siksi paki ama sifa khaa![emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]