Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jana ilikuwa siku ya Premature babies duniani
 
Aidha mkojo kuwa na harufu kali hii inaweza kumaanisha una ugonjwa au mawe kwenye njia ya mkojo (urinary stones), magonjwa yanaweza kutengeneza harufu kali inayofanana na amonia. Harufu ya amonia ni harufu kali ambayo inafanana na harufu ya ukuta ulikojolewa kwa muda mrefu.Wagonjwa wa Kisukari, wanaweza kuona mkojo wao una harufu tamu kutokana na sukari ya ziada kwenye mkojo wao.
 
Baadhi ya vyakula hubadili harufu ya mkojo mfano Avokado (Parachichi ). Harufu wanayonusa watu huwa inatokana na utengenezaji wa kampaundi iitwayo ‘Methyl mercaptam moja ya kampaundi ambayo inapatikana pia kwenye kitunguu saumu.
 
Ikiwa unahisi kukojoa mara kwa mara na hukunywa ugiligili wa kutosha kukojoa mara kwa mara, hii inaweza kuwa inasababishwa na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI), ugonjwa wa kibofu (Interstitial Cystitis) ugonjwa unaosababisha kibofu kuvimba na kufanya mtu ahisi kibofu kujaa na kutaka kukojoa mara kwa mara, magonjwa ya kuvimba tezi dume, Kisukari, magonjwa ya mfumo wa fahamu kama Kiharusi (Stroke) na ugonjwa wa Parkinson.
 
Ikiwa mtu haendi kukojoa vya kutosha inaweza kumaanisha mirija kuziba au ina maambukizi au inaweza kuwa ni kwa sababu ya tabia iliyojengeka ya kujizuia kwenda kukojoa hasa kwa watu kama walimu, madaktari wa upasuaji na watu wengine ambao hawana muda wa kwenda kukojoa mara kwa mara kutokana na kuwa na shughuli nyingi. Kuchelewa kukojoa au kubana mkojo kunaweza kusababisha matatizo kwenye kibofu kwa sababu ya kulazimishwa kibofu kusinyaa hata kama mkojo umejaa.
 
70' Assist Juan Manuel Mata García
68' Stoppage in play here as Hayden is down receiving treatment following the challenge by Smalling. After receiving treatment from the physio he looks fine to continue.
 
70' GOOOAAALLL! LUKAKU SCORES! The striker finally hits the back of the net for United, ending his goal drought and puts his side 4-1 ahead here at Old Trafford. The striker was fed the ball by Mata, he then turned past Clark, before firing a powerful effort past Elliot and into the back of the net.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…