mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu habari yakoKiongozi.
DUA yako imesikika.
Hongera yako
Mkuu habari yakoKiongozi.
DUA yako imesikika.
Hongera yako
Niko BIZENdugu zangu msinitafute... "Msinitafute"
Mpenzi wangu usinitafute... "Usinitafute"
Mie Mwenzenu niko BIZE... "Niko BIZE"
Ndugu zangu niko BIZE... "Niko BIZE"
Mkuu unamkumbuka CoolioSi madharau basi Kazi tu... "Kazi tu"
Ndio sababu sionekani USWAZINI hata MASKANI, kuonekana kwangu Usiku tu... "Usiku tu"
Aaaaha Numbisa binti mpole kabisa hapa kijijiniKuna baadhi ya dalili ambazo zinaonekana moja kwa moja,
Salaam mzee wa liverMsambwanda wa kesho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwako mkuuAsubuhi njema
Jumapili poa kabisaSalaam za jumapili
AminaMwendao kwenye ibada msiache kutuombea
YapJumapili ya maombi
Chukua likesNa mimi naomba kupata like
Number one in JFUzi unaotamba
Nawe gonga likesWatoto wa Nyoka hugawiana Uchungu., hebu nifanyieni kampango ka likes Wajameni!
Niambie rafiki yangu wa damu kabisa jakitooCole williams
HahahahahaBado anamtafuta Mr. Right. Jaribu bahati yako poti! [emoji23][emoji23]
HahahahahaBado anamtafuta Mr. Right. Jaribu bahati yako poti! [emoji23][emoji23]