Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,941 Asilimia kubwa ya vifo hasa kwa nchi zilizoendelea ni matokeo mabaya ya matumizi ya madawa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,942 Dawa zinasababisha vifo vya watu zaidi ya 100,000 kwa mwaka, na zaidi ya watu milion 1.5 wamepata matatizo mengine zaidi baada ya kutumia dawa.
Dawa zinasababisha vifo vya watu zaidi ya 100,000 kwa mwaka, na zaidi ya watu milion 1.5 wamepata matatizo mengine zaidi baada ya kutumia dawa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,943 Hizi dawa zimegawanywa katika makundi matatu, ambazo zinaweza kukusababishia kusahau:
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,944 1.Dawa za usingizi Dawa za usingizi mara nyingi zinasababisha upungufu wa kumbukumbu, na zinaweza kukusababishia hali ya kama kuzimia au kama mtu alielewa.
1.Dawa za usingizi Dawa za usingizi mara nyingi zinasababisha upungufu wa kumbukumbu, na zinaweza kukusababishia hali ya kama kuzimia au kama mtu alielewa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,945 Kwa hiyo dawa hizi haziwezi kukupa usingizi unaotakiwa hili mwili uweze kujiponya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,946 Dawa maarufu ijulikanayo kwa jina Ambien, inafahamika kama "amnesia drug", (dawa ya usahaulifu)
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,947 2.Dawa za kupunguza mafuta mwilini Hizi dawa ni dawa zenye uwezo mkubwa wa kuharibu ubongo, na zinatumika kushusha viwango vya choresterol mwilini.
2.Dawa za kupunguza mafuta mwilini Hizi dawa ni dawa zenye uwezo mkubwa wa kuharibu ubongo, na zinatumika kushusha viwango vya choresterol mwilini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,948 Hii ni kutokana na sababu kwamba 1/4 ya ubongo ina choresterol, inayohitajika kwa ajili ya kufikiria,kumbukumbu, na kujifunza.
Hii ni kutokana na sababu kwamba 1/4 ya ubongo ina choresterol, inayohitajika kwa ajili ya kufikiria,kumbukumbu, na kujifunza.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,949 Hata hivyo dawa hizi zinasababisha usahaurifu na matatizo mengine ya kiafya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,950 3."Anti" Drugs Zote antibiotic, antihistamines, antidepressants, antipsychotics, antispasmodics
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,951 zinadhuru uwiano wa acetylcholine kwenye mwili, ambayo ni muhimu sana inayohitajika kwa kumbukumbu na kujifunza.
zinadhuru uwiano wa acetylcholine kwenye mwili, ambayo ni muhimu sana inayohitajika kwa kumbukumbu na kujifunza.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,952 Kwa ujumla hizi ni dawa zinazosababisha usahaulifu -Antibiotic -sleeping pills-Ambien,Lunesta,Sonata -Painkillers-
Kwa ujumla hizi ni dawa zinazosababisha usahaulifu -Antibiotic -sleeping pills-Ambien,Lunesta,Sonata -Painkillers-
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,953 -Painkillers-morpine,codeine,heroin -Insulin -Epilepsy-Dilantin au phenytoin -Barbiturates-Nembutal,Phenobarbital,seconal,Amytal
-Painkillers-morpine,codeine,heroin -Insulin -Epilepsy-Dilantin au phenytoin -Barbiturates-Nembutal,Phenobarbital,seconal,Amytal
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,954 -Antipsy-Mellaril,Haldol -Parkinson disease-astropine,glycopyrrolate,scopolamine -Benzodiazepines-
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,955 -Benzodiazepines-Xanax,Valium,Dlmane,Ativan -Quinidine -Beata blockers -High blood pressure drugs -Interferons
-Benzodiazepines-Xanax,Valium,Dlmane,Ativan -Quinidine -Beata blockers -High blood pressure drugs -Interferons
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,956 -Naproxen
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,957 -Tricyclic antidepressants -Methyldopa -Lithium
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,958 -Antihistamines -Steroids
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,959 Kama utatumia dawa hizi, hakikisha kuwa unawasiliana na daktari wako ili achunguze kama dawa hizi zitaweza kukupotezea kumbukumbu zako.
Kama utatumia dawa hizi, hakikisha kuwa unawasiliana na daktari wako ili achunguze kama dawa hizi zitaweza kukupotezea kumbukumbu zako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 19, 2017 #496,960 Je una herufi M katika kiganja chako? Hii ndio maana yake