Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante bageshi. Napenda sana kuandika na kufafanua mambo - japo kwa juu juu. Naupenda uzi huu kwa sababu angalau hakuna dharau na matusi. Kwenye majukwaa mengine huko mtu unajikunja weee kuelezea kitu halafu jamaa linakuja huko na kukuponda "We ndorobo ndo umeandika nini sasa?" Mtu unaishia kucheka tu na kwenda zako.Sababu napendaga magazeti yako ya ufafanuzi full burudani na mifano kuntu. Upo vizuri shimba. Awesome answer
Naelewa[emoji4]Jakiiii !!! This is deep! Mapenzi ya hivyo kwa sasa yameanza kuwa nadra na ni bahati sana kumpata mtu wa aina hiyo.
Yeah! It was a lot of work. Boring days and sleepless nights of posting numbers, spoilers, pictures.... I think he should go for 1 million likes. By June 2018 he will be there.I admire your efforts Mkuu. from 7K to 360K in less than 6 months! Phewwwwww!
Asante bageshi. Napenda sana kuandika na kufafanua mambo - japo kwa juu juu. Naupenda uzi huu kwa sababu angalau hakuna dharau na matusi. Kwenye majukwaa mengine huko mtu unajikunja weee kuelezea kitu halafu jamaa linakuja huko na kukuponda "We ndorobo ndo umeandika nini sasa?" Mtu unaishia kucheka tu na kwenda zako.
Japo karibu nitapunguza kuja katika uzi huu lakini nimejifunza mengi sana hapa na mafundisho yako ya tiba mbadala yamekuwa na manufaa makubwa kwangu. Mungu Akubariki sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]