Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dar es Salaam. Baadhi ya wachungaji wanaotoa huduma za kiroho katika magari yaendayo mikoani wameiangukia Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) kwa kuitaka kutafakari upya uamuzi wa kuwazuia kufanya shughuli hiyo.
 
Jambo hili limetustusha sana, kwa sababu tunachokifanya ni kuombea abiria ili wasafiri salama na huu ndiyo ubinadamu unaotakiwa. Pia maombi yetu yanasaidia kuwarudisha katika misingi ya maadili miongoni mwa abiria wanaokuwamo katika magari haya,”amesema Mchungaji Hangao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…