Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutegemea na muundo wa jokofu zipo koili zilizo nyuma au chini na ni rahisi kwa vumbi na chembechembe za uchafu kujishika humo baada ya muda. Uchafu huu unasababisha jokofu kuongeza msukomo wa kazi yake ambapo inapelekea kulichosha na kusababisha matengenezo ya gharama.
 
Uzuri ni kwamba kusafisha koili za nje ya jokofu ni hatua rahisi ya utunzaji wake ambayo unaweza tu kuifanya wewe mwenyewe. Zima jokofu, livute mbali na ukuta na tumia ufagilio wenye brashi laini kusafisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…