Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lazima iwe hivyo. Baada kuipigania kupata Uhuru na hatimaye kuipitisha nchi hiyo kwenye changamoto nyingi hakupasa kuondoka kwa njia hiyo. Ilikuwa ima apinduliwe aondoke kwa aibu ama ajiondoe siku muafaka na si kwa shinikizo
Ndio maana tunasema Nyerere alikuwa na vision sana aliamua kuachia madaraka mapema kabisa akabaki na heshima kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…