Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa Kinyakyusa katika ubora wako. Asante kwa kunifanya nicheke. Numbisa amesema yeye atabakia kuwa anonymous daima ila nikijipa wiki moja Mwanza naamini nitafanikiwa kumuibua. Kama mbwai na iwe mbwai tu. Wabeja !!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tumesha kuwa ndugu hawezi kujificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…