Kwa watu wenye mahusiano maalum.Uzi maalum
Wazima kabisa,za kuadimika?Wazima humu!?
Poor Sonny Liston...He got stung by a bee that flew like a butterfly.....
Ipo poa tulivu na epieloW'end yasemaje!?
Wapo vizuri sana wanaongeza burudan za uzi wetu pendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binti zangu wale Mungu awajaalie maisha marefu kwa kweli.
Marumbano yao yalikuwa yananipotezea kabisa thamani ya uzee wangu.
Na ile ilikuwa na upaja ilikuwa ina vutia sana