[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee weweAnakapendaga Moud. Tangu uangushe ile serikali - kwa mapinduzi matulivu ya amani ya kimya kimya !!!
Kizalishi mama cha parabo singers kwenye uzi huu.Jamani jamaniii.... Mimi nimefikia ubaya wa kiwango cha kuitiwa mashahidi?
babe S ni shemeji wa mzee mwenzangu ho chi minh,lakini ni mke wa rafiki yangu mkubwa uniq.Sisi wazee watatu tunaaminiana saana.
Chonde chonde shemeji[emoji120] [emoji120] ondoa hofu kwangu.
Huyu mtangazaji wa Sauzi huyu hovyo kabisa. Halafu mtu mzima...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kizalishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sijui unapata wapi maneno hayo.Kizalishi mama cha parabo singers kwenye uzi huu.
Mchina na Uniq ni marafiki? Walishamaliza tofauti zao baada ya kutekana? Kama ni hivyo basi safi sana !!!