Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemejiiii. Tena nina mpango wa kuhamia kule tunakoruhusiwa mpaka wanne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Andjul amka. Unapitwa !!!
Nakuona sana.carba yupo huko huko unako taka kuhamia...Malengo yako yatatimia tu.

Mtoto wa watu wamsifia hadi malengo yake kwa upande wa pili yanavurugika...

Haya, ule uvimbe wa nani hii huku nyuma hana,utamvumilia wewe?

Pwani na koromije lini wakawezana? Mtoto mdogo huyu,haihitaji kufakamia miparachichi minene,mirefu,mikuuuubwaa...Sawa baba.
Ila nae carba...dah!!!!

Haloooo Shimba
Haloooo Yego
Niaje Numbisa
Niaje carba
Salaam myoyambendi
Salaam moudgulf
 
Salama mkuu?
 
Yaani we kabinti wewe....mule mule yaani...
Mimi nakujaga huku kwa ajili ya watu Fulani... Siku ikipita bila kuwaona naumia kweli. Cha ajabu "naridhika na mwandiko wao tu,siwajui na hata sijui kama ipo siku nitawaona"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muacheni Mungu aitwe Mungu.Maana nafsi zetu zinapendana...
 
Weweee haunitakii mema subiri january ntaleta
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madeni yanatesa...200likes
 
Ndio kipengele pekee ambacho mzazi hakoseagi.Hasa mama kwa mtoto wake wa kiume,baba kwa mtoto wake wa kike
 
Eeeh!ongeeni kiswahili basi tuelewe khaa![emoji125] [emoji125]
Hao watoto wawili nawapenda sana.Hawana mbwembwe,ingekuwa wengine hapa hata komenti za kuchekesha wangeandika kwa kilengesa(mimi ningegoma kucheka,kwani wananiona) tena kile cha u no mi maza fata... nini sijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yego+Shimba=carba=Numbisa=furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…