Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji,wee ile unashuka tu pale usihangaike,niite nije nikupokee...Tukeshe tukipeana like za laivu laivu.
Umeamkaje huko mkuu?
Uwe na siku njema
 
Mshambuliaji wa Brighton Tomer Hemed alipata jezi ya Zlatan Ibrahimovic baada ya klabu yake kulazwa 1-0 Old Trafford na alipakia picha yake akiwa na shati lake kwenye Instagram Jumamosi na ujumbe: "Huwa hambadilisha shati na Ztalat, shati la Zlatan hukubadilisha [HASHTAG]#zlatanfacts[/HASHTAG]." (Instagram)
 
Meneja wa Newcastle Rafa Benitez amehimiza kuwepo utulivu baada ya klabu hiyo kushindwa ligini mechi ya nne mtawalia, walipolazwa na Watford wikendi. (Daily Telegraph)
 
Manchester City nao wanafikiria kuwasilisha ombi la kumtaka beki wa Real Sociedad wa miaka 26 kutoka Uhispania Inigo Martinez mwezi Januari. (Sun)
 
Mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku huenda akapigwa marufuku mechi tatu - ikiwa ni pamoja na debi ya Manchester - iwapo FA wataamua kumuadhibu mchezaji huyo wa miaka kwa 24 kwa kile kinachoonekana kuwa kama kumpiga teke beki wa Brighton Gaetan Bong. (Daily Mail)
 
Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji amesifiwa sana na meneja wa Manchester United Jose Mourinho, licha ya kutofunga bao lolote katika mechi tisa kati ya 10 alizochezea klabu hiyo karibuni. (Guardian)
 
Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema winga wa Wales Gareth Bale, 28, hatauzwa wakati wa dirisha ndogo la kuhama wachezaji Januari. (Daily Star)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…