Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabingwa wa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya wanapanga kuwasilisha ofa ya £80m kutaka kumchukua mshambuliaji Mfaransa anayechezea Manchester United Anthony Martial, 21, majira yajayo ya joto. (Daily Mirror)
 
Arsenal nao wako tayari kutathmini ofa zenye uzito za kutaka kumchukua mshambuliaji wa Chile Alexis Sanchez, 28, na viungo wa kati Mesut Ozil, 29, wa Ujerumani na Jack Wilshere, 25, wa England mwezi Januari. (Daily Express)
 
Shemejiiiii!!
Maneno yote haya yananihusu mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE shemeji jua limechomoza huku amka ujeeee
 
Tottenham wanamfuatilia beki wa kushoto wa Bologna Adam Masina, 23, huku wakijiandaa kutafuta mchezaji wa kujaza nafasi ya beki wa England Danny Rose, 27, endapo ataondoka. Rose amehusishwa na kuhamia Manchester United. (Daily Mirror)
 
Hakika....
Habari ya wewe na familia
 
Mshambuliaji wa Brighton Tomer Hemed alipata jezi ya Zlatan Ibrahimovic baada ya klabu yake kulazwa 1-0 Old Trafford na alipakia picha yake akiwa na shati lake kwenye Instagram Jumamosi na ujumbe: "Huwa hambadilisha shati na Ztalat, shati la Zlatan hukubadilisha [HASHTAG]#zlatanfacts[/HASHTAG]." (Instagram)
 
Nakuona tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae......
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji,wee ile unashuka tu pale usihangaike,niite nije nikupokee...Tukeshe tukipeana like za laivu laivu.
Umeamkaje huko mkuu?
Uwe na siku njema
Hii ndo maneno sasa. Huku kwema mno. Kuna baridi kali lakini safi sana. Tumshukuru Mungu daima !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…