Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ajabu kabisa. Kujichubua mjichubue nyinyi halafu kulaumiwa tulaumiwe sisi. Kha !!!


"Mnajua udhaifu wetu. Mnajua tupo chini yenu. Na mnajua mengi tufanyayo ni kwa ajili yenu."...

Sehemu nyingi katika jamii zetu; watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, alionao mtu. Na ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini ya kiwango.

Yah.... wanaume mnawatamani na kuwapenda wanawake weupe zaidi kuliko weusi. Labda huyo mweusi awe na "chura mkubwa"[emoji85][emoji85] ndiyo mtamfuata.

Hali hii inawaumiza sana weusi' hasa wale wasiojitambua... hupelekea kutumia ving´arisha ngozi kama krimu, vidonge au nyenzo zingine kubadilisha ngozi zao.

Badilikeni wanaume; angalieni tabia/dini...hao weupe ndiyo hao hao wanaowatesa, mpaka mnawaona wanawake wote waovu.

Mara nyingi kimaneno huwa mnasema si kweli..but kimatendo mnawatamani weupe.

Hao mnaowaita "cheupe" ndiyo wanaowaangamiza; wakati yule "cheusi mangala" katulia, tabia njema, heshima n.k

" wanawake wenzangu turidhike na ngozi tulizoumbwa nazo; wapo watakaokupenda hivyo hivyo na huyo mtu lazima atakuwa na mapenzi ya dhati kwako...hata kama una "chura mdogo". Wasitupelekeshe akili hawa."

Najivunia ngozi yangu ya kiafrika "halisi."[emoji8]
 
Damn, cold world
I never thought I'd see that day that you’re my old girl
Now I’m stuck here hollering at old girl
Got one, got two, three four girls
Shotgun in the drop made a right
Hut one, hut two, told them niggas take a hike
Then it’s on to the next one, on, on to the next one
Hard to move on when you always regret one
 
Ubarikiwe sana mkuu. Matendo kama haya kamwe huwa hayaendi bure- kama siyo kwako basi kwa vizazi vyako [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ila huo ndo ukweli,mahangaiko yote ya wanawake ni sababu ya wanaume yaani mkubali mkatae...
Kila siku mnakuja na vigezo vipya waaio na vigezo ndo wanapata shida,sema hapa mwisho kama kamaanisha kamalizia vizuri [emoji116][emoji116][emoji116]
"wanawake wenzangu turidhike na ngozi tulizoumbwa nazo; wapo watakaokupenda hivyo hivyo na huyo mtu lazima atakuwa na mapenzi ya dhati kwako...hata kama una "chura mdogo". Wasitupelekeshe akili hawa."Najivunia ngozi yangu ya kiafrika "halisi."
 
I wonder sometimes
I wonder if I was wrong
Tryna do right by you got me here
Now all I am is alone

'Cause her eyes
And those hips
And that (ass)
Don’t compare, at all (no)
And at best, all they do is distract me
But now, deep down, when I face it

[Chorus:]
All I want is you
All I want is you (now)
All I want is you now
Now that you’re gone, gone, gone
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sisi hatupendagi kumuoa mwanamke aliye jirekebisha maumbile/ngozi.Tunapenda orijinali
 
'Cause being your friend was killing me softly
Hear voices
Wonder where I went wrong
It was my fault, in the wrong time,
I wonder so often, regret gets exhausting

'Cause her eyes
And those hips
And that (ass)
Don’t compare, at all (no)
And at best, all they do is distract me
But now, deep down, when I face it
 
All I want is you (mhm)
All I want is you (now)
All I want is you now (sugar)
Now that you’re gone, gone, gone, gone, gone
All I want is you (mhm)
All I want is you (now)
All I want is you now (baby)
Now that you’re gone, gone, gone, gone, gone

[Bridge:]
'Cause they don't smile
Or smell like you
And they don't make me laugh
Or even cook like you
And they don't photograph
Nah, they don't sex like you
Let's face it, I can't replace it
That's why all I want is you now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…