Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Yaani dume zima na midevu yako unasimama mbele ya kadamnasi nakuanza kusema"ooh!mimi nilikiwa nimesimama bosi(ke)akaja akashika pumbu zangu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji117][emoji117][emoji117]kinachofanya wanaume wasilalamike ni kuogopa fedheha na ukizingatia hatumchukulii mwanaume kama kiumbe dhaifu,inawezekana vitendo vya kidhalilishaji vinafanyika sana kwa wanaume ila sasa unaanzaje kulalamika?
Sijui mnaona utajivua uanaume wako au sijui ndo kuogopa aibu.
Iringa kule wanaume wanapigwa na wake zao ila wanajikaza.
Abeeee
Kumbe leo tar30 eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4]
Kwani nimesemaje vile[emoji23][emoji23][emoji23]Bosi (ke) akashika nini? [emoji134]♂️[emoji134]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh! Kumbe una dayari na unaandikaga vituWhoa! Tarehe ya leo lazima niiandike kwenye dayari yangu? [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji123]
Wengine wooooote hawafai kuwekewa mifano isipokuwa mimi tu!!
Wee kitoto una matatizo sana,ni kama unaniombea mabaya vile...
Ila ofisini kuna raha yake asikuambie mtu,ile unaingia tu ofisini mara paap guu la jakitoo hiloo...loh!! Mtoto wa kisukuma babe S kachelewa naingia kwa...aaah!! Ile tu unamaliza kumshukuru muumbaji kwa maua uliyoyaona,kitu hichooo...carba anaingia kwa kujibiringa biringa[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii... Eee Mungu wa Yakobo[emoji120] [emoji120] sijamaliza hata sala uso kwa uso na Numbisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] sala inakatika automatikale[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najuta kwa nini nilizaliwa mapema miee[emoji19] [emoji19] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimestaafu hata kabla kichwa changu hakija choka.
Ila napo namshukuru aliye Aliye juu,maana nisingepona kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh! Kumbe una dayari na unaandikaga vitu
Habari ya veve(wewe)?
Salama kabisa nashukuru Mungu[emoji120][emoji120]Vitu adimu kama hivi lazima uviweke kumbukumbu kwa vizazi vijao! Habari yangu mdhuri bana, mambo vipi?
Ushaanza YegoBosi (ke) akashika nini? [emoji134]♂️[emoji134]♂️
Ushaanza Yego
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji137] hello brotherNilijua tu lazima ujibu mashambulizi! [emoji23][emoji23][emoji23]
Salama kabisa nashukuru Mungu[emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji137] hello brother
Amin[emoji120][emoji120]iwe hivyo kwako pia...Basi uwe na siku njema!
Yego mkorofi sana....Ushaanza Yego
Maisha ya ndoa si vile tulivyokuwa tunayatarajiaSalama kabisa nashukuru Mungu[emoji120][emoji120]
Vile yupo na amani akiwa na wewe, basi, tumshukuru MunguYego mkorofi sana....
Yego mkorofi sana....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] toka hukooJamani, mimi mpole sana! Sina ukorofi wowote! [emoji23][emoji23]
Nimeona kuna vyeo vipya humu.Daktari bingwa wa uzi