Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bashite ananikumbusha "Maria antonite"wa ufaransa alikuwa na nyodo balaa "if u can't afford bread buy cake"French revolution ikamuadabisha, grace Mugabe nae nyodoooo mis use of national funds yuko wapi sasa
bshite ur the next kitakachokupata itakuwa fundisho endelea na mbwembwe zako tu
 
Marehemu kafa kifo cha kishujaa
Au tutasema ajali kazini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku siasa sidhani kama inahitajika sana,
Kuna jukwaa ambalo wengi tulipakimbia na kuwa sehemu salama hii ndo maana jukwaa linakimbia 240kph.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…