Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu yupo CCM pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Good one....

Ila wanasiasa kiboko. Hawa wanakwenda huku, hawa wanarudi yaani mtu mpaka unachanganyikiwa. Na utachanganyikiwa zaidi ukisiliza sababu zao sasa. Ni kila mtu na tumbo lake....
 
Hahaha hahaha yaani wanasiasa hatari sana
 
Pale pagumu sana panahitajika busara ya hali ya juu
Kuna maeneo yaani mtu kama una busara inabidi uyashughulikie kwa uangalifu sana. Au unafumba macho tu watu wanaendelea kupiga hela. Inafika mahala unatambua kwamba kutoa tu amri pengine hakusaidii na badala yake inabidi kutazama hasa chanzo cha tatizo ni nini. Kuna mitandao pale ya miaka na miaka na kuibomoa kwa matamko tu na kuvamia siyo rahisi...
 
Bila busara kutumika pale itakuwa ni hadithi tu unafanya ziara ya kushitukiza ukiondoka watu wanapiga dili kama kawaida hata makusanyo ya TRA yameshuka watu wanapiga dili kama kawaida tu wanaumia watu wa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…