Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Upweke baba,achana na upweke kabisa halafu usikute bidada ndo alitoka kuachana na jamaa yake.
Sema na yeye alienda kasi sana yaani ile paap umehamia kwake.
Sema moyo wa mtu kichaka laiti tungekuwa tunajua kilichomo kwenye mioyo hii tungeepuka mengi sana.
Ila nyie wanaume nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda ilikuwa inayeyuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natamani jamaa aje na malalamiko yake na yeye tu balance story...Pole yake lakini. Amepata fundisho, amejifunza na hatarudia kosa kama hilo tena! Sio wanaume wote tuko hivyo! Mambo ya mbili mara tatu kutwa, seven days a week kwani anaondoka kwenda kuishi kwenye sayari ya Mars, ambapo hutampata tena? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nzurii tuu[emoji4]Safi tu za wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]...Pole bana! Saa ingine mtu lazima ujue unataka nini kwenye haya maisha! Alikuwa na watoto wake wawili tayari, na inavyoonekana hakuwa na shida kivile ya maisha. Angetulia akamalizia taratibu ujenzi wa nyumba yake! Sasa wewe umekutana tu na Yego hapa JF, mnalianzisha na kuhamia kwake tayari; huyu Yego unamjua au unamsikia? [emoji1][emoji1]
Labda ilikuwa inayeyuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natamani jamaa aje na malalamiko yake na yeye tu balance story...
Lakini nyie si mnapigania usawa wa kijinsia?Mwanamke kulelewa kawaida bhana ila na ninyi mnataka haki sawa za kulelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nabii....wa....Tanzania...ijayo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upweke shemeji....Word....Haya mambo hayana fomyula. Unaweza kumjua na kumsikia sana Yego lakini anaweza kubadilika mpaka mwolewa akashangaa. Binadamu ni kiumbe mtata mno na imeshashindikana kumuwekea tabia changanuzi. Mikatale ya kijamii tu lakini ukiangalia sana ndoa it is so overrated. Siyo lazima kuoa wala kuolewa unless uwe na sababu za msingi. Mabinti wanakuwa so desperate wakigonga 35+ mpaka wanakuwa tayari kuolewa na ye yote ali mradi tu kuonekana na jamii kuwa naye kaolewa. Huyu na watoto wake tayari na pesa anazo za kuendeshea maisha, ya nini kujitosa kwa mtu ambaye wala hakumwelewa sawa sawa?
Na nyie mabinti listen - kama umesoma na una kazi yako, kwa nini ung'atwe na presha za kipuuzi za jamii eti lazima uolewe katika umri fulani? Ni lazima kuolewa? Aaaaaaaargh !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani huko aliko anapanga mashambuliziJamaa anaweza kuja na gear kwamba bibie alikuwa anataka tu mda wote! [emoji23][emoji23]