Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa kichafu embu nisaidie kujua huyu jamaa watu wanalamika atoi likes demigod
demigod demigod inaonekana umesahau kidogo rule inayotuongoza kwa sasa.


Tunaendelea kukumbushana kwa ambao wanadhani humu ni kupost bila kulike basi naomba mkumbuke kulike pia kila post ambayo umeisoma au unaiona.

Ndio tutaweza kufika malengo ambayo wewe unayahitaji.

Sambaza likes kiroho safi watu watasambaza likes zaidi kwako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…