myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni sana..ni kupazoea hivyohivyo. Huku joto na theluji ya Kilimanjaro inayeyuka. Bora mzoee huko tuDue, hongera sana aisee! Huku heri tu, Mkuu. Baridi tu linatukomesha, kama una mnyama huku siyo sehemu ya kuishi! 🙂🙂
Anapima kina cha maji ama?[emoji23][emoji23][emoji23]Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!
Aiseh!umenikumbusha enzi za chakula cha foleni[emoji23][emoji23]siku ya wali sasa acha kabisa hizo fujo zake
Aiseh!poleni shemeji.Mungu wangu, pole sana. Huku ni mbaya zaidi,ni wiki ya tatu sasa tangu hali ibadilike.
Tumuachie Mungu ila tuendelee kuwaombea Bwana akawatendee vile atakavyoona inafaa.
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo
Mwache apime urefu wa barabara wewe[emoji23][emoji23]Don't let the dog out now! keep him chained!
Nimekumiss ujueKatika watu wenye displine humu basi ni myoyambendi! Labda kama uko Australia, lakini kama uko Bongo; basi wewe ni mtu wa kuamka mda wa Kombora kila siku!
Numbisa njoo huku wanamtania Lukaku wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss ujue
Mwache apime urefu wa barabara wewe[emoji23][emoji23]