Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaa!wabongo sijui tukoje mana tunapenda kusherehekea matatizo ya wenzetu,wataanza kupigana vijembe sasa hivi[emoji23]yatakuwa yale ya leila yusuph na marehem chiku
Yaan wanafurahia huko kwa milly. Ika ya leila na chiku hayawez tokea maana open kitchen yupp dhaifu kwa ukibonge so mume akaona afate kimbaumbau nchi za watu huko. So wakitibuana itakua mmoja kamfata mwenzie nchin mwake
 
hizi ni baadhi ya faida za kufanya mazoezi, yote ya yote mazoezi hurefusha maisha kwa kukufanya uwe mwenye afya njema. Ni vyema ukajiuliza, hivi ni kweli ukifanya mazoezi na kula vyakula bora kunaweza kuboresha maisha yako?
Jibu ni NDIYO mazoezi na vyakula ni dawa pekee ya kutibu au kukuepusha na magonjwa mengi yanayoweza kuzuilika. Fanya mazoezi kuimarisha afya yako!
 
Yaan wanafurahia huko kwa milly. Ika ya leila na chiku hayawez tokea maana open kitchen yupp dhaifu kwa ukibonge so mume akaona afate kimbaumbau nchi za watu huko. So wakitibuana itakua mmoja kamfata mwenzie nchin mwake
Wabongo unatujua au unatusikia?
Sema mbona anaonekana sio kibonge wa hivyoo,mwili wa kawaida tu ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…