carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nasikia ni katoto ka ngosha hako,babake ndo kapanga pale magogoni[emoji23][emoji23]Eeh, kumbe nikatoto ka skuli? [emoji15][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nauona mwandiko wako,hebu kunywa hata lita moja tafadhali...Nasikia ni katoto ka ngosha hako,babake ndo kapanga pale magogoni[emoji23][emoji23]
Sijanywa maji leo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaenda kuupunguza gym,kuna kipind alikua kibonge balaa ,akishauriwa apunguze anablock watu kaja kushtuka mume keshabebwa. Daah tabasamu za insta bana moyon maumivu sanaWabongo unatujua au unatusikia?
Sema mbona anaonekana sio kibonge wa hivyoo,mwili wa kawaida tu ule
Nasikia ni katoto ka ngosha hako,babake ndo kapanga pale magogoni[emoji23][emoji23]
Sijanywa maji leo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha tu nikalale kabisa,mana nikiendelwa kukaa hapa Yego ataniponza bure[emoji23][emoji23]Nauona mwandiko wako,hebu kunywa hata lita moja tafadhali...
Ndo jeska wa uncle magu hapo alikua udom hostelEeh, kumbe nikatoto ka skuli? [emoji15][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji3][emoji3][emoji3] watatulia tuMzee wa fx naona waendelea kutoa watu mapovu tu[emoji23][emoji23]
Insta hakuna tabasamu,kule watu wanajionyesha tu waonekane wako sawa na maisha yao yako soo perfect kikubwa wanatafuta faraja ya kusifiwa kule ila in reality wana stress hatari,we ujiulizi kwanin alikuwa ana block watu wanaompa ushauri?Kaenda kuupunguza gym,kuna kipind alikua kibonge balaa ,akishauriwa apunguze anablock watu kaja kushtuka mume keshabebwa. Daah tabasamu za insta bana moyon maumivu sana
Amna bhana we komaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]ila yatakukuta ya babu seya shauri yakoOooh, basi ngoja nipite hivi! [emoji23][emoji23]
Acha tu nikalale kabisa,mana nikiendelwa kukaa hapa Yego ataniponza bure[emoji23][emoji23]
Usiku mwema shemeji[emoji42][emoji42][emoji42]
Ndo jeska wa uncle magu hapo alikua udom hostel
Zile saa ziku hizi hazina wadau humu,konge na harufu sijui wamepotelea wapi,SYB na wewe hamuonekani...Mbona fasta bana? Usiku mwema bhana, ukuje zile saa zetu; huyu Mlugaluga wa Tukuyu atakuwa ameangusha gari tayari! [emoji23][emoji23]
Amna bhana we komaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]ila yatakukuta ya babu seya shauri yako