carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Masikio popo[emoji23][emoji23][emoji23]Sana hebu fikiria mtu anamchukia zari kisa ana watoto watano,kutwa nzima mama watano hiki mara kile,saiv wanamchukia kisa masikio yake mara hana mali,weupe alionao etc daah waja wana mambo
Hahahaha BAK jamani
Timu misa ndo timu wema waliomkacha wema baada ya kuona hana kiki na drama tenaHlf hao wanaomchukia sasa hata kula yao tu ni ya shida. Team misa wakiongozwa na boss wao hata nyumba hawana.
Wanaishi mjini kwa kudanga.
Mwenzangu niliona nikabaki nashangaa tu.Yaan hajielew ukiangalia snap ya kwanza ya zari ilimuhusu don wa ug ila hamisa akaidaka na kuanza jibu ili apate sifa. Zari huyo yupo zake kwenye ndege akaacha ku snap hakujibu kitu bidada akajiona mshind akaanza poromosha maneno weee mpaka akachoka kahamia insta
Mwenzenu anataka kiki tu hamna kitu paleYaan anatia huruma. Kama kweli kaolewa au anapendwa na dai asingefichwa na kutokua huru kupiga picha akiwa madale. Au pale dai akiwa kambeba mwanae dully. Sifa za IG zitampeleka pabaya sana
Hebu tuma lisms la Mpesa kichwa changu kisisimke.Hehehehe tena bora umejileta maana mwenzio hapa kila sms ikiingia naifungua haraka najua tayari ushanithibitishia kwa M-pesa.
Hlf huyo mtz mwenzetu hana akili, hataki kujifunza anapenda ligi za kipuuzi na hiyo team iko inampa kichwa kumbe ndio wanamuangamiza.Ila kuna watu wana wivu jamani! Mpaka unaogopa! Wanamchukia mtu bila sababu za maana kabisa kila siku wanamuombea mabaya na wengine wakidai si Mtanzania mwenzetu!! Hivi mtu kuwa si Mtanzania ndiyo iwe sababu ya kuchukiwa kiasi hicho kwa kweli? Mbona wako wengi tu duniani si Watanzania lakini Watanzania wengi tunawapenda sana! Mioyo iliyojaa kutu.
Na ndio wanaompoteza bila kujua.Timu misa ndo timu wema waliomkacha wema baada ya kuona hana kiki na drama tena
HahahhahaHebu tuma lisms la Mpesa kichwa changu kisisimke.
Hana washauri wazuri na kingine kinachonifanya niwaze hivi ni nani anampa kiburi hivi?
Niliona post yake moja jana anasema alimpeleka domo kupokea zile tuzo3
Na ndio wanaompoteza bila kujua.
Ndo maisha ya ukewenza hayo na ndo maisha ya wabongo movieYaan mpuuzi sana huyo msichana, badala ajikubali tu apambane na hali yake.
Mara arushe picha za zilipendwa sijui za Nigeria.
Ndo nipo kumbembeleza,niombee... Sitakuangusha vibayaNipo hapa kama unatafuta wa kumaliza naye hizo hela[emoji23][emoji23][emoji23]tena za nsamaka nazila bila huruma
Hamzipati yaan hata senti tano hakuna.Ndo nipo kumbembeleza,niombee... Sitakuangusha vibaya
Umeanza eeeh, ligi ya zari na misa itahamia kwetuNipo hapa kama unatafuta wa kumaliza naye hizo hela[emoji23][emoji23][emoji23]tena za nsamaka nazila bila huruma
Ila kuna watu wana wivu jamani! Mpaka unaogopa! Wanamchukia mtu bila sababu za maana kabisa kila siku wanamuombea mabaya na wengine wakidai si Mtanzania mwenzetu!! Hivi mtu kuwa si Mtanzania ndiyo iwe sababu ya kuchukiwa kiasi hicho kwa kweli? Mbona wako wengi tu duniani si Watanzania lakini Watanzania wengi tunawapenda sana! Mioyo iliyojaa kutu.
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua[emoji17]Hlf hao wanaomchukia sasa hata kula yao tu ni ya shida. Team misa wakiongozwa na boss wao hata nyumba hawana.
Wanaishi mjini kwa kudanga.
Umeanza eeeh, ligi ya zari na misa itahamia kwetu
Hahahha hilo jukwaa lazima akili za kawaida uziache sehem kwanza ukitoka huko ndio unazipitia tena.Acha niende Chalinze mara moja nikauvue uzee. Maake hilo jukwaa linataka akili za ujana kuwezana nalo. Nimeshangaa tu majina sijui "Tukinao", "Tununu"mara Chuchunge....jamaniiii
Hlf huyo mtz mwenzetu hana akili, hataki kujifunza anapenda ligi za kipuuzi na hiyo team iko inampa kichwa kumbe ndio wanamuangamiza.
Hapo unadhani kuna mwanaume atatamani kuoa huyo mtu?