Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawezi kujuta kwa sababu hajitambui.Hana anacho poteza maana ana uhakika watoto wake watalelewa na baba zao
Atajuta mkuu..mwangalie mange alivyo sasa ndivyo anavyokua hamisa. Mange alikua na kufuru sana mashauzi matusi mengi saiv hana hata rafiki. Watoto hana mamlaka nao anaishi nao kwa siku chache mno,pesa hana kabakia kudhulumu watu kupitia application
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…