Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Oktoba 27, Catalonia ilifikia uamuzi mkubwa na wa kihistoria, baada ya Bunge lililovunjwa kupitisha maazimio ya jimbo hilo kujitenga na Hispania ili litambulike kama nchi huru na Jamhuri ya Catalonia. Uamuzi huo ulikuja baada ya harakati zilizoanza takriban miaka 100 iliyopita, kutaka isiwe sehemu ya Hispania.
 
Upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna mvurugano mkubwa kuhusu Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Mkataba wa Jumuiya unazungumza kuhusu utaratibu wa kuachiana nafasi ya uongozi wa Bunge kwa mzunguko lakini huo hausemi kuhusu huo utaratibu kamili.
 
Upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna mvurugano mkubwa kuhusu Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Mkataba wa Jumuiya unazungumza kuhusu utaratibu wa kuachiana nafasi ya uongozi wa Bunge kwa mzunguko lakini huo hausemi kuhusu huo utaratibu kamili.
 
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nikikosa 100 likes nafungua uzi wa malalamiko
Gonga likes ujipatie likes vinginevyo utaishia kuziona zikienda kwa Andjul tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Habari yako mkuu, karibu eneo la kujidai, utani, urafiki, upendo pamoja na likes vinapatikana hapa.
 
Kinadharia tu, ilionekana awamu hii ni zamu ya Rwanda lakini Burundi na Tanzania nao wameingia kwenye mchuano. Katika hilo, inaonekana Tanzania ndiyo ambayo imeingilia kinyang’anyiro kwa sababu yenyewe tayari ilishaongoza Bunge la kwanza chini ya Spika Abdulrahman Kinana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…