Uko kitanda unanyandua dame halafu anakuuliza kama unampenda .ni kama wewe ni mwenda wazimu ulale na adui. Pokea kigongi maswali utajibu kwa reception![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
aliaga ila mpaka sasa hajarudi..ISIS alipotelea wapi?
Nikichungulia humu huwa simuoni.
Kama hii Bei gani
kaliaga ila mpaka sasa hajarudi..
Ila mkuu ukiamua kujenga mijengo ya hivyo hapa bongo si unajenga ama John Atauliza?ahahaah
Nimeeiba google
k imeingua bahati mbaya..Ooh kumbe.
Acha uchokozi ondoa K.. 😀
Kama unafanya kazi kwake ndio majanga.Ila mkuu ukiamua kujenga mijengo ya hivyo hapa bongo si unajenga ama John Atauliza?