Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu kijijini wanastruggle kulisha mbuzi na kuku the whole year na wewe uko mjini unalisha slay queens alafu December uko na guts za kwenda kijijini uchinje mbuzi ama kuku???no it doesnt work that way kila mtu achinje chenye amekuwa akilisha[emoji23]
Tunachinja kwa hela zetu mkuu, walitusubiri sana watuuzie wanyama kwa bei ya mwisho wa mwaka. Mambo Nipe nikupe mkuu hakuna namna
 
*Babu yangu kachukua sigara yangu niliyochanganya na bhangi sahii namuona anajipiga selfie na calculater*

Wazazi wangu wanasema ni uzee
Sijui niwaambie ukweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waambie tu [emoji3] [emoji3]
 
FB_IMG_1513260930776.jpg
 
Back
Top Bottom