Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu kijijini wanastruggle kulisha mbuzi na kuku the whole year na wewe uko mjini unalisha slay queens alafu December uko na guts za kwenda kijijini uchinje mbuzi ama kuku???no it doesnt work that way kila mtu achinje chenye amekuwa akilisha[emoji23]
Tunachinja kwa hela zetu mkuu, walitusubiri sana watuuzie wanyama kwa bei ya mwisho wa mwaka. Mambo Nipe nikupe mkuu hakuna namna
 
Waambie tu [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…