[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuvaa ni bora mara milioni. Kuna mdada mmoja nadhani ni mzungu jina limenitoka ni mcheza sinema maarufu sana ila siku hizi hasikiki kabisa. Alikuwa mzuri wa haja basi akataka awe na lips za midomo kama za Waafrika hivyo akaenda kufanya hiyo plastic surgery ya lips. Basi ikatoka vibaya. Rekebisha rekebisa na wewe basi uzuri wote ukapotea ila pamoja na yeye kukutwa na hilo janga lakini wengi badi hawaogopi wanataka lips kama za Waafrika! Waafrika wanataka kuwa Wazungu na Wazungu wanataka kuwa Waafrika! Dunia mambo mpwito mpwito.
Ha ha ha muda wa kulainisha uno, mambo ni motoooo
We mvivuMazoezi kufanya ni issue. Na vyakula navyo ni jambo lingine. Litapungua tu kwa rehma za mwenyezi Mungu.
Mi sijuiHilo tumbo au mtumbo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wa kubebwa mgongoni Mkuu.
Punguza kula kula, ikibidi mlo wa mchana upotezee kisha kunywa maji kwa wingi na jiwekee muda wa mazoeziBwana linaninyima raha sababu limekatika sasa nyama zikiongezeka kidogo tu nikivaa nguo linajichora
Toa nawe upate likes
Hongera mkuu..salam nyingi..uwe na mwaka mpya wenye barakaPost zenu zote nimezitendea haki from 17hrs ago
Mlo wa mchana au wa usiku mkuu?Punguza kula kula, ikibidi mlo wa mchana upotezee kisha kunywa maji kwa wingi na jiwekee muda wa mazoezi
[emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114] AMIN Nawe piaHongera mkuu..salam nyingi..uwe na mwaka mpya wenye baraka