he! hachafuki huyu??
Hii imeanza lini maan mbona wizi umefanya sanKamwe hatutasita kuchukua hatua za kisheria kwa mtumishi yeyote atakayebainika kuiba fedha za ankara za maji zinazolipwa na wateja,” alisisitiza.
Hawezihe! hachafuki huyu??
Kitu chenye thamani siku ya mazishi yako ni Amali uliyochuma enzi za uhai wako. Ndugu, rafiki na mali zako wataishia kaburini, Amali zako ndizo zitakufaa. Kwahiyo ni heri tufikirie aina ya Amali tutakayoishi nayo milele kaburini kuliko rafiki asiyefika kukuzikaHivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!!
I think nakaribia kupona
Shemeji...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones.Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTEMKAPIME " Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sana Harusi sijui lini anapenda kushtukiza sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.