Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu nimekulewa,inafaa upate PHD kwa bandiko lako hili
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) mkoani

Kilimanjaro inamshikilia karani wa Mahakama ya Mwanzo ya Maili Sita

wilayani Hai, Rose Urassa (58) kwa tuhuma za kuomba na
 
yenye upendeleo kwa mshitakiwa.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa jana Jumatano Januari 3 katika eneo la

mahakama hiyo akiwa amepokea fedha hizo baada ya taarifa

hizo kupokelewa na ofisi ya Takukuru na mtego wa rushwa kuandaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…