Alisema katika visiwa vya Zanzibar hali ya hewa ipo nyuzi joto 34 ambavyo vyote ni viwango vya juu. Akizungumza na Nipashe, Mganga wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam, Dk. Stanley Binangi, alisema wakati wa joto kali magonjwa mbalimbali huwaathiri wananchi.