Kuna jamaa anachoma mihogo pale muhimbili mida ya jioni utankuta karibu na geti LA kuingilia, Jioni moja nikamkuta anakojoa kwenye chupa ya maji , huku mikono ikiwa inalowa kwa mikojo yake kutokana na mkojo kushindwa kuingia kwenye chupa, baada ya kukojoa akaweka mkoio chini ya toroli lake na kuendelea kugeuza mihogo kwa mikono yenye mkojo.
Kuna vitu ukichunguza sana hapa mjini utakufa njaa, maana kila kitu utaona ni uchafu.