andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Na ikawe hivyo kwa mapenzi ya Mungu.Amen ndugu yangu. Ratiba yangu mwishoni hapo ilikuwa hovyo vinginevyo ningefika kuwaona wapwa zangu na kuwapa pole. Mwezi wa nne Mungu Akipenda basi itakuwa.
Ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]