sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,744
- 4,354
Wamepumzika kwenye mataapoleni mlio kwenye 'mataa' na foleni ya 'daladala
Wamepumzika kwenye mataapoleni mlio kwenye 'mataa' na foleni ya 'daladala
Miti gani hii
Hii ndio bustani ya eden walipoanzia maisha ya adam na eva
Huu mtaa nchafu sana
inategemea safari ipi...Mkuu kwani kusafiri ni jukumu kubwa hadi wastahili pole? Mi nikisafiri ni starehe tu mwanzo mwisho
Safari ni safari mkuu, kwani wewe unafikiri pole umetoa kwa wasafiri gani ?inategemea safari ipi...