myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
posti na likes
wenye kuchoka. wewe kama huchoki sio yakoSafari ni safari mkuu, kwani wewe unafikiri pole umetoa kwa wasafiri gani ?
Like na postposti na likes
Hata kama sio yangu, ninayo haki yakutoa maoni yangu na yaheshimiwe mkuuuwenye kuchoka. wewe kama huchoki sio yako
Yenye kula pweza wameanza mitaanijioni hiyoooo...
Kibongobongo kishakua star, anaweza lamba mademu kibao.
Kweli manabii wanakazi kubwa kujinadi
HahahaKibongobongo kishakua star, anaweza lamba mademu kibao.
Rest in peace
Kansa ya tezi dume. Wanaume tuchunguze afya ya tezi dume jamani hasa kwa wale ambao wako 50+. Kansa hii inatibika kabisa ikigunduliwa mapema....Rest in peace