Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo. Nimefurahi kusikia hujambo.Kwema shem kipenzi.Habari ya wewe?
Nimemuona huyu mwenzio hapa [emoji116][emoji116][emoji116] nikakukumbuka. Endelea kueneza upendo wa muumba..
Nipo. Nimefurahi kusikia hujambo.Kwema shem kipenzi.Habari ya wewe?
Umeanza ukorofi shemeji[emoji23][emoji23]Nipo. Nimefurahi kusikia hujambo.
Nimemuona huyu mwenzio hapa [emoji116][emoji116][emoji116] nikakukumbuka. Endelea kueneza upendo wa muumba..
![]()
Mjerumani au muingerezaPasi ya mkaa
Baada ya vipimosukari au figo..ila dr ndie atasema zaidi
Mkuu kwani kusafiri ni jukumu kubwa hadi wastahili pole? Mi nikisafiri ni starehe tu mwanzo mwishopoleni wasafiri