I love mondays esp leo, umeme umekatika huku leo nachat tuuView attachment 686827
I hate mondays
Na uwache kweli maana zile namba sio kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] ila kama umeridhika nazo sawa tuNimeacha sahv😉
Kuna kitendo unanifanyia sio vizuri ujue, Yale maelekezo mamaNa uwache kweli maana zile namba sio kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] ila kama umeridhika nazo sawa tu
Niliwahi ileta picha hiiAsante andjul ila maumivu yakizidi huwa naenda safisha kaburi baada ya hapo napata amani daah maisha haya
She's.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Sababu ya nini?
hata we pia ukienda sehemu simu yako ikaisha chaji na hakuna sehemu ya kuchaji basi waweza kujiona umepotea katika uso wa dunia.moja kwa moja unaweza kuanza kutambua kuwa unalo tatizo la kupenda simu kupita kiasi.
Kweli bhana kwanini ufe na tai shingoniShida yote ya nini bana? Msema kweli.....
Touching picha. Uzi mzuri na JF pia maana huwez jua mtu anayetype hapa yupo kwenye wakati gani. Ndo maisha haya. Waza mawazo ya maana familia inakuhitaji sana hivyo be brave ili waone wana baba imara wa kuishi nao mpaka uzeenNiliwahi ileta picha hii
Nikiwa nimejawa na hofu kubwa juu ya vijana wangu. Ikiwa kwa umri wangu huu bado nawalilia wazazi wangu walio tangulia mbele ya Haki, vipi mimi nikiondoka sasa... Nani atawafariji? Au ndio watakuja kulala katikati ya kaburi la mama na baba yao(Mungu nisamehe) ili wapate faraja?
Tuna mengi tunapitia ila huu uzi unatufariji sana
Kweli kabisaaahata we pia ukienda sehemu simu yako ikaisha chaji na hakuna sehemu ya kuchaji basi waweza kujiona umepotea katika uso wa dunia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weraaaaa weraaaaMuzinaaaa muzinaaaa litatat ebi mwana ebi bebebe santuuuu muzina litaaaa yangwee muzinaaaa
Wemba wembaaa tuntuuu tuntuuu wemba wembaaa
Carbaa[emoji134]She's.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weraaaaa weraaaa
Hatimaye baridi ya Njombe na baridi ya..... Nguruwe pori hafugiki [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Nzawisa... Eyoooo....