Hahahaaaa tatizo ratio ya me na ke 4:2 kwenye uzi huu, ndio maana twalumbana tuHahhahaha yani humundani raha sana. Unaweza kucheka kama chizi. Hahhahaha
Punguza hasiraNimekuruka sasa
Aluta ....Kula like shida like lala like amka like yaani ni malike like tu
Sambaza likes pokea likesPata like toa like
kilimamoto au kilimapunda?Picknic kilimamoto leo
Niache niache na mtoto wangu ngozi kila mtu anaitakaMkuu utagombana na kila MTU, twampenda bana
Mkuu kwa hisia kabisa?, hahahaa aaaa.Kweli wakuachie umetoka mbali sana naeKichwa kichafu nisaidie kumwambia ISIS kuna mtu anatangaza kumlove hila hiyo vita haitamwacha salama huyo mtu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wawindaji ni wengi kuliko wanyama.Hahahaaaa tatizo ratio ya me na ke 4:2 kwenye uzi huu, ndio maana twalumbana tu
Kumchafua likesAliye juu mngoje chini
Sorry Kilimapunda hata kilimamoto pazuri tukilimamoto au kilimapunda?