Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Red card
Hata sijaelewa,sijui akili imechoka[emoji30][emoji30][emoji30]Atatumia jina badala ya muonekano wake(kitu usiku kwa usiku) na ka picha kake kwa simu
Sawa bro. Ni kwenda kwa Andjul kumsalimia. Nyie mtaelewana kweli au zitapigwa kavu kavu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Na mimi nimo hata sijui ni nn lakini nimo
Sawa shemeji nitajitahidi[emoji120][emoji120][emoji120]Mimi kesho kule, jumamosi ijayo nishtue kwa maelekezo zaidi
Pikipili hoho hii hii ninayoijua ama "pilipili hoho"?Likely pilipili hoho...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa khaa!Hoooooooooovyoooooooooo !!!
Sawa shemejiTutaweka appointment mapema...Labda atukwepe kwa makusudi...
Asante Yego. Still struggling to adjust...Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Duu, pole sana aisee! Mi nikadhani ulikwenda home kwa ajili ya Christmas na mwaka mpya. Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi!
Hakika, hata sijui ingekuwaje!Ni kumuomba Mungu tu hakuna kingine mkuu.
Na uzi huu kusema kweli ni therapy mojawapo kubwa ambayo binafsi imenisaidia sana. Maneno ya faraja, upendo, undugu na matani yaliyomo humu vyote vimekuwa tiba na farijiko kubwa. Mungu Atawalipa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi nimo hata sijui ni nn lakini nimo
Mimi nitabeba popcorn nishuhudie mpambano wa mtu na kakayakeSawa bro. Ni kwenda kwa Andjul kumsalimia. Nyie mtaelewana kweli au zitapigwa kavu kavu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mimi nimo hata sijui ni nn lakini nimo
Mmeanza !!!Sawa shemeji nitajitahidi[emoji120][emoji120][emoji120]
Aiseeeekumbuka kupenda simu kupita kiasi kunaweza kusababishia matatizo mbalimbali kama ya Afya, matatizo ya kifamilia, kimahusiano na mambo mengine kama hayo.