Tatizo binti mpole huyu ndugu yangu anavyo zidi ya weka hapa anaongeza awareness Sijui kwannAaaiseeee nani sasa atabaki chama la wenye pasi,vumilia bana usiende kwenye misabwax
Ni maambukizi mazuri. Hutajuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Bro kuna vitu unaniambukiza kuhusu haya madubwasha
Ni majaribu ili uwe ngangar jitahidi uyashinde,Tatizo binti mpole huyu ndugu yangu anavyo zidi ya weka hapa anaongeza awareness Sijui kwann
Ni maambukizi mazuri. Hutajuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
HahahahhaaaMimi nitabeba popcorn nishuhudie mpambano wa mtu na kakayake
Amen mkuu. Nilikuwa nikikuangalia wewe. Misiba yote ile mfululizo lakini bado ulikuwa na nguvu ya kunitia moyo na kuniambia nisikate tamaa. Pengine hujui lakini ni wazi Mungu Alikutumia kuniangazia nuru na kunitia matumaini. Ndiyo maana nasema tutaniane humu lakini sisi tumekuwa kama ndugu kabisa japo hatujuani. Mwezi wa nne ikibidi tukutane jamani angalau tupate nafasi ya kushukuriana ana kwa ana. Dunia imebadilika sana na unapopata mtu anayekujali hasa wakati wa shida basi ni bahati mno. Mungu Aendelee kukubariki ndugu yangu. You are one of a kind [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee, mwenzio ndio umenikandamiza na jina hilo?
Mweee Jei efu raha sana